mwenyekiti wakama ti ya maandalizi ya sendoff party basila aloyce mushi
pa moja na familia ya aloyce mushi wanapenda kukukaribisha kwaheshima na taadhima kwenye kikao cha tatu kitakachofanyika kesho tarehe 11/07 sinza makaburini mwika hall saa 11:00 jioni, kufika kwako ndio mafanikio ya kikao, upatapo msg hii mpe taarifa na mwingine, ubarikiwe,