Kaka mimi nakusamini sana na wala siwezi kukufanyia kibaya sababu najua ulikonitoa mpaka sasa hapa nilipo mm sina mbele wa nyama nakutegemea sana nilijua nikimwambia christy hapatakuwa na ubaya atakwambia na domana hata jana hiyo hiyo ulivyoniomba namba nikajua umeambiwa na christy make do mtu wa kwanza mm kumwambia kaka nisamehe sana kwa kuogopa kukufata na kukwambia ww mwenyewe nisamehe