Mwalimu, Shikamoo.
Habari za siku nyingi . Sisi huku hakuna shida, bali ninawakumbukeni.
Mwaka leo ninasoma kitabu katika Chuo Kikuu cha Lugha za Kigeni cha Shanghai. Mwaka kesho nitakwenda Tanzania. Tutaonana wakati ule !
Mwanafunzi wako
Simba
Tarehe 2016.11.19